Hosea 14:8


8 aEe Efraimu, utasema, ‘Mimi nina shughuli gani tena na sanamu?’
Nitamjibu na kumtunza.
Mimi ni kama msunobari wenye majani mabichi;
kuzaa kwako matunda kunatoka kwangu.”

Copyright information for SwhKC